
Nani alisema lazima uvae shela na gauni jeupe uonekane umependeza katika siku yako ya harusi?
Harusi za kitamaduni huhusisha kuchanganya maisha, familia mbili na hata jamii mbili.
Katika tamaduni zetu za kiafrika na kwingineko ndoa ni tendo takatifu, ndoa huunganisha mahusiano na kuimarisha jamii.
Ili ndoa za kitamaduni zitimie kuna mila zinafanywa na ili ikamilike zaidi watu huvaa nguo za asli/kiafrika.
Unaweza angalia picha hizi ukaona mitindo tofauti na kupata wazo jinsi gani mshono wa gauni lako litakua.




Mini na kanzu ya bazee…


CHANZO;SHEREHEYETU BLOGSPOT.COM
No comments:
Post a Comment