Saturday, February 7, 2015

USAFIRI WA MAHARUSI NI MUHIMU.

Whitegorse-1
Mara nyingi swala la usafiri hua linapuuziliwa wakati wanaharusi wanapopanga harusi.Wanandoa hutumia muda mwingi kulenga booking za ukumbi, caterers na kufuatilia kamati hadi dakika ya mwisho ndipo wanakumbuka usafiri ni muhimu.
Ni vyema kushughulikia usafiri pindi tu unapopata tarehe ya harusi na ukumbi.
Bajeti ina impact(athari) juu ya kila uamuzi kwenye harusi na ni vizuri ukizingztia vitu flani, kama vile kufanya uchunguzi mapema na kujua umbali wa kumbi na distance(umbali na foleni) ukizingatia gharama(car hire charges per hour) na wakati mwingine unapata ni bora kukodi chopper.
executive1
Unaweza pia ukachagua usafiri kulingana na fani yako.
hot-air-balloon-transport
africabs_1
Africabs-3-web-1024x6821416257211_solange-knowles-wedding-alan-bike-zoom
cindarella-style-horse-carriage
whitehorse2
SAM_1095
executive2

No comments:

Post a Comment