Wednesday, March 27, 2013

SIKU YA HARUSI YANGU NITAVAA GAUNI MOJA KATI YA HAYA..

wd15 wd14 wd8 wd9 wd10 wd11 wd12 wd13 wd2a wd3 wd4 wd5 wd6 w7 w8




 ACCESORIESwd wd1 wd2 PICHA NA 8020Fashions Blogmy-wedding11


SIKU YA HARUSI YANGU NITAVAA GAUNI MOJA KATI YA HAYA..

hili gauni nimependa huo muundo wake wa juu..

with no reason melipenda tu mie hapa..

yeah queeny zay.. royal wedding yeah..

hili pia malkia lazima atokelezee kinamna hii..

hii kama Cinderella vilee..
hili nmependa hapo juu iyo style..

hii meipenda uku chini lilivyobwaga..

kama unavyona kwa nyuma mashallah mgongo..

honestly hili hapa nimependa kilakitu nzuli sana..


hili sasa rangi yake na jinsi lilivyo mie mekufa kabisaaa..

so guys siku ya harusi yangu inshallah Mwenyez Mungu akitujaalia uhai nitajitupia kwenye moja ya magauni hayo hapo juu najua nitapendeza tena sanaaaaa, WENYE VIJIBA VYA ROHO MTAUMIAJE SASA!! ehhehehe sonyeni kimyakimya!!

No comments:

Post a Comment