Wednesday, April 3, 2013

SEND OFF YA SHUKURU GENEROSE RWIMO-SONGEA

 
Shukuru anaingiya Ukumbini.

Shukuru Generose Rwimo akiwakaribisha wageni waalikwa
Kweli amependeza
Familia ya bwana harusi mtarajiwa,ya Mzee Aloyce Nyinge.
Mwenyekiti wa Kamati E.G.Haule.


Mwanaume pozi bwana...

Bi Harusi mtalajiwa Shukuru Rwimo akimtambulisha mchumba wake kwa wazazi wake.
 Unaona kitu icho....
 
   MC Mkongwe Mkoani Ruvuma Mwl Chale (MC KAMBUZI)Ikifungua Shampein.

Wahoooo..... 
 
   
Baba mzazi wa Shukuru Mzee Generosa Rwimo ikipokea keki toka kwa bint yake
Wahooo Dada.
Mwanamke Goti bwana.
Mwenyekiti wa Kamati akipokea keki.
Shangazi wa bwana harusi mtalajiwa akipokea keki.
Mwanamke Mguu asikwambie mtu bwana
MC Mkongwe Mkoani Ruvuma Mwalimu Chale (MC KAMBUZI)
NICE
Msosi kama kawa..




Bi harusi mtalajiwa Shukuru ikipokea zawadi ya Pesa toka kwa wanakamati.
Mambo ya Shangazi hayo.

Picha ya pamoja na marafiki zake. 
Kwaito likaanza   
kila Mtu na wake.
PICHA ZOTE ZIMEPIGWA NA MPENDA MVULA PRODUCTION 
simu 0755-556736/0716-162889
SONGEA 

No comments:

Post a Comment