Wednesday, November 7, 2012

MATUKIO MBALIMBALI YA HARUSI YA MR $ MRS MUTTA RWAKATARE

                         Dr.Akipokea Keki kwa Bibi Harusi Jane.
                             Mama Mzazi wa Dr.Getrude P Rwakatare.
                         Kitu Ndafuuuu,Baba mzazi akimlisha Muta Rwakatare.
                  Mama akuwa nyuma kumlisha Ndafu Bibi Harusi.
                     Mambo ya Mahakuli.
           Mchungaji Kiongozi akipata Chakula  Mambo ya Ubwecheeee. Elyston Angai na subutu kusema akuna mpigaji wa Gita atakaeweza kufikia uwezo    aliokuwanao,Sam wa VCC kaa chonjo.
                 Emmanuel akifanya kweli kwenye Kinanda.
Wazee wa Mikocheni B Mr Kibona Kushoto akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Harusi Mr Mziwanda.
                      Mzee kiongozi Marting Mlele akiwa na Mkewe.
                     Sister Janet mpiganaji.
                     Dr Stevin Kisui na Mrembo wake Mama Kisui.
                 Mzee kiongozi Mik-B
                         Mr $ Mrs Nicholas Kipalanga.
         Meza waliyo kaa viongozi wa Chama Cha CMM na Serikali ya JK.
       Warembo wa Yesu,Kushoto Mamii Vero na Kulia Eva.
          Nyoshi Elisadati Kiongozi wa FM-Academy alikuwepo.
   Master of Ceremony Mr Lameck Matemba.(picha zote kwa niaba ya unlejimmyetemu.blogspot)

1 comment: