Wednesday, November 7, 2012

FAMILIA YA MTANGAZAJI GERSON MSIGWA YA FUNGA NDOA KWA PAMOJA KATIKA KANISA LA FAMILIA TAKATIFU BOMBAMBILI SONGEA.


Familia ya Msigwa ilifunga ndoa katika kanisa hili la Familia Takatifu Bombambili


Hawa ndio mabwana harusi wakiwa sambamba na wasimamizi waho
 Mtangazaji wa TBC Gerson Msigwa akiwa katika picha ya pamoja na wadogo zake
 Picha ya pamoja ya Maharusi na Wasimamizi waho.
 Ma,bibi harusi wakiwa katika pozi
 Mtangazaji wa Chanel Ten Songea Emmanuel Msigwa ambaye ni miongoni mwa waliopata sakramenti ya ndoa
Bw:,Abyud Msigwa ambaye ni miongoni mwa maharusi
 Bw:Lukas Msigwa ambaye ni mmoja kati ya maharusi akiwa katika pozi
 Bw:Keitan Msigwa ambaye ni miongoni mwa maharusi
 Bw:Lukas Msigwa akimvisha Pete bibi harusi wake kama ishara ya upendo wake kwake
 Bw:harusi Keitan Msigwa akimvisha pete mwenzi wake
 Bwana harusi Abyud Msigwa akimvisha pete bibi harusi wake
 Bw;Emmanuel Msigwa akimvisha pete bibi harusi wake kama ishara ya upendo wake kwake
 Bw:Emmanuel Msigwa akisaini cheti cha ndoa
 Bibi  harusi wa Emmanul Msigwa akisaini cheti cha ndoa
 
 Bw:Emmanul Msigwa akifurahia kuuaga ukapera baada ya kupata cheti cha ndoa
 
 
 

 Bw; harusi na Bibi harusi wakipeleka vipaji
 
 
 
 
 Miongoni mwa maharusi akiwa katika picha ya pamoja na mtangazaji wa TBC Catheline Nyoni(Mamaa Msigwa)



No comments:

Post a Comment