Thursday, February 22, 2018

MBUNGE SONGEA MJINI ATOA VIFAA KTK KITUO CHA AFYA MJIMWEMA KWA NIABA YA RAIS.

Na- Mpenda Mvula-Songea

Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)Mh.Dr.Damas Ndumbaro,ametoa msaada wa vifaa mbalimbali vikiwemo vitanda 20 na Magodoro yake vyenye thamani ya sh. Milioni 18 kwa niaba ya Rais Dr.John Magufuli ikiwa moja ya utekelezaji wa ahadi yake aliyoitoa wakati wa Kampeni ya uchaguzi mkuu.

Akizungumza katika makabidhiano hayo Mh Dr.Ndumbaro alivitaja vifaa vingine vilivyotolewa katika kituo hicho cha Afya  kuwa ni Shuka 50 pamoja na vitanda vitano kwa ajili ya kujifungulia akina Mama wajawazito.

Kwa upande wake Mganga mkuu wa Manispaa ya Songea Dr.Mameritha Basike amemshukuru na kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.John Magufuli kwa msaada wake alioutoa katika kusaidia kituo hicho cha Afya Mjimwema.

                                                         MWISHO.

Tuesday, February 13, 2018

MWENYEKITI WA CCM MSAAFU SONGEA MJINI AZIKWA LEO -SONGEA

PICHA-MPENDA MVULA.

Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Mapinduzi wilayani Songea ndugu Gerold Antoni Mhenga amezikwa leo na maelfu ya watu katika makaburi ya Bombambili Songea.


Marehemu Gerold Mhenga Alizaliwa Mwaka 1953 katika Kijiji cha Ndugaro Wiliayni Njombe Mkoa wa Njombe katika Parokia ya Uwemba.
Alianza shule ya Msingi Mwaka 1962 katika Kijiji cha Igoma mpaka darasa la Nne,Baada ya hapo alienda Midle School katika Shule ya Mtyang'imbole Mpaka Mwaka 1969.Mwaka 1972 Aliajiliwa Wizara ya Ujenzi(Mawasiliano)Songea baada ya apo aliacha kazi na kuendelea na Biashara.

Ibada ya Mazishi Ikiongozwa na Baba Naibu Askofu wa Jimbo la Songea Mjini .
Marehemu Gerold Antoni Mhenga alikuwa mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi na Kiongozi na kufanikiwa kushika nyadhifa mbalimbali,Mwaka 1998-2003 Alikuwa Kamanda wa Vijana wa CCM.
Mwaka 2002-2012 Alikuwa Katibu wa Uchumi na Fedha wa Wiliya na Mwaka 2012-2017 marehem Gerold Mhenga alikuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Songea Mjini na Baadae alistaafu Uongozi na kubakia kuwa mshauri wa Chama.
Mwili wa Marehemu Gerold Mhenga Ukielekea Makaburini

Mke wa Marehemu Gerold Mhenga akiweka taji.
Watoto wa Marehemu wakiweka shada la mauwa.

Marehemu Gerold Mhenga amefariki tarehe 10.02.2018 saa mbili Usiku katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Songea na kuzikwa tarehe 13.02.2018 katika Makaburi ya Bombambili na ameacha mke na watoto Tisa,Wakiume watano(5)na Wakike wanne(4)na wajukuu kumi na tatu(13).
Umati wa watu walijitokeza nyumbani kwa Marehemu.
 Viongozi wa Chama na Serikali walikuwapo.
Watoto wa Marehemu.

BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIBARIKIWE AMEN.

Saturday, December 23, 2017

SEND OFF YA SAADA NDAUKA-SONGEA

-PICHA-MPENDA MPENDA
- VIDEO-MPENDA MVULA
- UKUMBI-FAMILIA TAKATIFU BOMBAMBILI

 Bi.Harusi mtalajiwa Saada Ndauka.
 Bi.Saada Ndauka akiwa na Mama yake Mzazi na Mdogo wake.




 Picha ya Pamoja na Familia Yake.


 Mama na Mwana hao.
 Waooooooo
  Bi.Harusi mtalajiwa Saada Ndauka.
  Bi.Harusi mtalajiwa Saada Ndauka.


 Keki ilikuwa nzuri Sana.
 PICHA ZAIDI ANGALIA MPENDAHABARI.BLOGSPOT.COM
TUNAPIGA PICHA ZA VIDEO,PICHA ZA MNATO,TUNAUZA CD,ALBAM,FLEMA ZA PICHA,TUNAKODISHA PROJECTA NK.Simu 0755-556 736/0716 162889 SONGEA.

SEND OFF YA ADELINA MAPUNDA-SONGEA

-PICHA-DENIS PHOTO
- VIDEO-MPENDA MVULA
-UKUMBI-NAKAILO MJIMWEMA SONGEA

 Bi.Harusi Mtalajiwa Adelina Mapunda.

 Bi.Harusi Mtalajiwa Adelina na Baba yake Mzazi.
  Bi.Harusi Mtalajiwa Adelina na Mama yake.






  Bi.Harusi Mtalajiwa Adelina Mapunda.




                                PICHA ZAIDI NA MPENDAHABARI.BLOGSPOT.COM
TUNAPIGA PICHA VIDEO,PICHA ZA MNATO,FLEM,ALBAM TUNAKODISHA PROJECTA  NK. Simu 0755-556736/0716-162889 SONGEA.                                                                                  



Thursday, December 21, 2017

HARUSI YA CASPAL & THERESIA-SONGEA

-PICHA-DENIS PHOTO
-VIDEO-MPENDA MVULA
-UKUMBI-SONGEA CLUB

 Caspal & Theresia Hongera Sana.







 Caspal Mbilinyi akiwa na Baba mzazi wa mke wake.
 Bi Harusi Theresia Sarita akiwa na Baba Mzazi wa bwana harusi.

PICHA ZAIDI ANGALIA MPENDAHABARI.BLOGSPOT.COM
TUNAPIGA PICHA ZA VIDEO,PICHA ZA MNATO,TUNAUZA FLEM,ALBAM TUNAKODISHA PROJECTAR NK SIMU - 0755-556736/0716-162889 SONGEA.