
Tunatakiwa
kubaki na kumbukumbu ya wedding day yetu maisha yetu yote- hata hivyo
mara nyingi harusi zetu hukumbwa na vurugu au vitu hatuwezi epuka kama
misongamano ya watu, magari na kadhalika.
Je umeshawahi kufikiria kufunga pingu za maisha porini? Hii pia ni
aina ya kupromote local tourism. Angalia hizi safari wedding themes
nilizokuandalia.
CHANZO:SHEREHE YETU BLOGSPOT.COM


No comments:
Post a Comment