Chama cha Kinamama wa kuwezeshana Songea maarufu kwa jina la Majamanda kimeweza kumchangia mwanamama mwenzao Rehema Shonga Pesa na vitu mbalimbali kwa ajili ya kujikwamua kiuchumi
Rehema Shonga anaingia Ukumbini
Rehema Shonga anakaribisha wageni.
Wazazi wa Rehema Shonga.
Sherehe ilifunguliwa kwa dua na Mwajabu Kipande.
Mwenyekiti wa Kamati dada Frida Chale
MC.Mwl Hamadi Hanya
Zawadi zikaanza
Furaha zikatawala.
Mambo hayo.
Wangoni bwana.
Pesa Kibao.
Dada Rehema Shonga anawashukuru waalikwa kwa kumuwezesha.
PICHA NA MPENDA MVULA
No comments:
Post a Comment