Friday, May 3, 2013

SEND OFF YA ELIZABETH NNKO-SONGEA


 Sherehe ya Kumuaga Elizabeth Nnko mtoto wa Mchungaji Kaanael Nnko wa Bombambili Songea Iliyofanyika katika Ukumbi wa Songea Club.
MC-Mwl Chale (Mc Kambuzi)
Mziki Dj-Steve
Picha-Mpenda Mvula.


 Ukumbi ulipendeza sana.


Elizabeth Nnko anaingia Ukumbini.
anaelekeya kumtambulisha Mchumba wake.
 
  


 Elizabeth Nnko.
 Wahooo Dada.
Mama mzazi wa Elizabeth Nnko akimpongeza mwanae.
 Hongera sana Dada Elizabeth Nnko.





Wahooooooo



 Mziki kama kawaida.

 PICHA NA MPENDA MVULA  Simu 0755-556736/0716-162889 Songea.

No comments:

Post a Comment