Thursday, December 15, 2016

HARUSI YA JAMES & FLORENCE-SONGEA

-PICHA-MPENDA MVULA
-KANISA-MT.MATHIAS MULUMBA KALEMBA
- SONGEA CLUB

Sherehe ya harusi ya Jemes Mkuwa na Frorence Mmary iliyofanyika katika Ukumbi wa Songea Club.Misa takatifu ya ndoa ilifanyika katika Kanisa la Mt.Mathias Mulumba Kalemba Jimbo kuu la Songea.
Mr&Mrs Jemes Mkuwa Waooooo
Pete ni Ishara ya Upendo.
Maharusi wakipeleka vipaji.
Maharusi wakionyesha vyeti vyao vya ndoa.
Bi harusi katika ubora wake.



Maharusi katika picha ya pamoja na wazazi wa Bi.harusi.
Maharusi katika picha ya pamoja na wazazi wa Bw.harusi



 Bw.harusi akimlisha keki mke wake kama ishara ya upendo




 Sebene kama kazi...
PICHA ZAIDI ANGALIA MPENDAHABARI.BLOGSPOT.COM
TUPO MTAA WA DELUX ONE MJINI SONGEA,TUNAPIGA PICHA ZA VIDEO,PICHA ZA MNATO,TUNAUZA FLEM,DVD,CD,ALBAMA NK.

No comments:

Post a Comment