Friday, October 14, 2016

HARUSI YA HASSAN SAAD & TATU MCHEKANAE-SONGEA

PICHA-MPENDA MVULA
UKUMBI-FAMILIA TAKATIFU BOMBAMBILI

Ndoa ya Hassani Hamis Saad Kangaulaya na Tatu Ally Mchekanae ilifungwa nyumbani kwa wazazi wa Bi.harusi mzee Ally Mchekanae na kufuatiwa na tafrija fupi nyumba ni kwa mzee Hamis Saad Kangaulaya na baada kufuatiwa na tafrija nyingine katika Ukumbi wa Familia takatifu Bombambili.

 Hassan & Tatu
 Bw.harusi Hassan Hamis Saad akimnywesha maziwa mke wake.

 Waooooooo
 Maharusi wakiingia ukumbini nyumbani kwa Baba wa bwana harusi mzee Hamis Saad.



 Maharusi wanakata keki kama ishara ya upendo kwao.

 Wazazi wa bwana harusi wakiwakabidhi watoto wao zawadi ya kitabu cha msaafu.


 Kweli walipendeza.
 Maarusi katika ubora wao.




 Wazazi wa Bw.harusi Mr&Mrs Hamis Saad.

 Ukumbi ulipendeza sana.
 Keki alikuwa nzuri sana.

 Maharusi wakiwa na wazazi wao.


 Familia ya Bwana harusi.
KWA PICHA ZAIDI ANGALIA MPENDAHABARI.BLOGSPOT.COM
TUNAPIGA PICHA ZA VIDEO,STELL PICHA TUNAUZA CD,DVD,FLEM,ALBAM NK TUPO MTAA WA DELUX ONE KARIBUNI Simu -0755-556736/0716-162889 SONGEA.

No comments:

Post a Comment