Saturday, October 15, 2016

HARUSI YA BEDA & AGNES (TUSE)-SONGEA

PICHA-MPENDA MPENDA MVULA
KANISA-MT.MATHIAS MULUMBA KALEMBA
UKUMBI-FAMILIA TAKATIFU BOMBAMBILI

 Harusi ya Beda Mwenda na Agnes Mwangomo iliyofanyika katika ukumbi wa Familia takatifu Parokia ya Bombambili,ndoa ilifungwa katika Kanisa la Mt.Mathias Mulumba Kalemba Jimbo kuu la Songea Mjini.

 Beda & Agnes






 Maharusi walipata muda mzuri wa kupiga picha kweli wamependeza.


 Mama mzazi wa Bi.harusi akiwapongeza watoto wake.



 Picha ya pamoja wazazi wa Bi harusi na maharusi.
 Mziki kama kazi.
 Kamati iliwapa zawadi ya pesa.
 Pete izi ni ishara ya mapendo yetu.
 Baba na Mama wa Bi.harusi.
 Wazazi wa Bw.harusi.



KWA PICHA ZAIDI ANGALIA MPENDAHABARI.PLOGSPOT.COM
TUNAPIGA PICHA ZA VIDEO,PICHA ZA STEEL,PASPOT,TUNAUZA FLEM,CD,DVD,NK
TUPO MTAA WA DELUX ONE Simu 0755-556736/0716-162889 SONGEA.

No comments:

Post a Comment