Sunday, August 7, 2016

SEND OFF YA LULU KAYOMBO-SONGEA

                                                                   Lulu Kayombo.
 -PICHA-SILVANO PHOTO STUDIO 
 -HABARI-MPENDA MVULA
-UKUMBI-FAMILIA TAKATIFU BOMBAMBILI.

 Bi harusi mtalajiwa Lulu Kayombo akiwa Saloon.
 Lulu Kayombo akiwa na mdogo wake.


 Gari ilikuwa nzuri.

 Ibada ya kumuaga ilifanyika katika Kanisa la EFATHA Ruvuma lililopo Mkuzo Songea Mjini.
 Bi.harusi Mtalajiwa Lulu Kayombo katika pozi.
 Lulu Kayombo na Shangazi yake Mama Lenzian Mpangwa.
 Baada ya misa ya shukrani bi harusi mtalaiwa Lulu Kayombo alielekea Mabwawani maeneo ya Ruhila Mjini Songea kupiga Picha.








 Bi.harusi mtalajiwa Lulu Kayombo akiwa na Bibi yake mzee Mama.


Picha ya pamoja Lulu Kayombo na Mama yake Mzazi.

PICHA ZAIDI ANGALIA MPENDAHABARI.BLOGSPOT.COM
TUNAPIGA PICHA ZA VIDEO,STEEL PICHA KWENYE SHEREHE MBALIMBALI KARIBU TUPO MTAA WA DELUX ONE SONGEA 
Simu 0755-556736/0716-162889.

No comments:

Post a Comment