Thursday, July 14, 2016

HARUSI YA JULIUS & JOYCE - SONGEA

PICHA-DENIS PHOTO
VIDEO-MPENDA MVULA
UKUMBI-FAMILIA TAKATIFU BOMBAMBIL
KANISA-ANGLIKANA SONGEA MINI

Sherehe ya harusi ya Mr&Mrs Julius Peter Ngwila ilifanyika katika Ukumbi wa Familia takatifu Bombambili Ibada takatifu ya ndoa ilifanyika katika Kanisa la Anglikana Songea Mjini.

 Mr&Mrs Julius & Joyce Ngwila
 Maharusi wakivishana pete kama ishara ya mapendo yao.

 Ndoa yao ilifungishwa na Baba Askofu wa Anglika Dayasisi ya Ruvuma.
 Bwana harusi akisaini hati ya ndoa.
 Bi.harusi akisaini cheti cha ndoa.
 Keki ilikuwa nzuri sana.


 Bi harusi akiwa katika pozi la picha hongera sana.



 Waoooooo


 Kaka wa bwana harusi Mr Samson Swed Ngwila akishangilia.

 NGWILA FAMILY
 Wazazi wa Bi harusi wakiwa katika picha ya pamoa na maharusi.
PICHA ZAIDI ANGALIA MPENDAHABARI.BLOSPOT.COM
PIA TUNAPIGA PICHA ZA VIDEO NA MNATO(STEEL PICHA)-PASPOT SAZE-FLEM ZA PICHA,DVD,VCD NK.KARIBU TUPO MTAA WA DELUX ONE.

No comments:

Post a Comment