Wednesday, February 3, 2016

UWAKA YAMPA TUZO DESDERY RUTTA-SONGEA

Chama cha wana Kagera (UWAKA)kimempata tuzo Desdery D.Rutta kwa kujutolea mara kwa mara katika Chama.

PICHA NA MPENDA MVULA

 Mwenyekiti wa Chama cha Wanakagera Wilson Ishengoma akimkabidhi zawadi Bw.Desdery Rutta.
 Desdery D.Rutta watatu toka kushoto aliyeshika cheti akiwa katika picha ya pamoja na uwongozi wa wana Kagera UWAKA.
Katikati aliyeshika cheti ni Desdery D.Rutta akiwa na marafiki zake waliokuja kumpongeza.

1 comment: