Thursday, September 19, 2013

THEOPHIL&MERINA-SONGEA

 Theophil na Merina walipata Sakramenti ya ndoa katika Kanisa la Mt.Mathias Mulumba Kalemba Jimbo Kuu la Songea na kufuatiwa na tafrija katika Ukumbi wa Familia takatifu Bombambili Songea mjini'
PICHA NA MPENDA MVULA.


 Pete nzuri sana
 kuvalishana pete.

 Washikaji mnaona hiyo?

 Mwendo wa Tausi huwo.



 Bi.Merina Kandoje.
 Theophil Kandoja.
Mapambo mazuri sana.
Keki pia ilikuwa nzuri.
 Mama mzazi wa Bw.Harusi Mama Ndumbaro anaingia Ukumbini.

 Mama Mzazi wa Bi Harusi anaingia Ukumbini.
 Wamependezaje?

 Kunywa wangu ni wewe tu.




 Mambo hayo.......
 Mziki ukaanza.



 Bi harusi akikabidhi keki kwa Mama mzazi wa Bwana.
 Bwana harusi akikabidhi keki kwa Mama Mzazi wa Bi harusi.
 Kwaito hilo.

 KWA PICHA ZAIDI ANGALIA mpendahabari.blogspot.com.

No comments:

Post a Comment