Friday, September 27, 2013

SIKU YA DAMIAN & VALENTINE

Walipata sakramenti ya ndoa katika kanisa la Mt.Mathias Mulumba Kalemba Jimbo kuu la Songea,kufuatiwa na tafrija nyumbani kwao Mdunduwalo Peramiho Songea vijijini.
PICHA NA MPENDA MVULA.

 Bi.Valentine Charles.
 Lt.Damian Haule.
 Wanaingia ndani ya Kanisa la Mt.Mathias Mulumba Kalemba Jimbo Kuu la Songea.
 Wazazi wa bwana harusi Mr&Mrs Ignas Haule.




 Mmeona hiyo washikaji?
 Wapambe wa bwana Harusi


 Kweli wamependeza.
 Mambo ya Songea hayo kama Ulaya...


 Wanaingia Kijijini kwao Mdunduwalo Peramiho Songea .

 Bwana harusi anakumbuka Enzi zake hiyo ngoma inaitwa Zilanga.







PICHA ZAIDI ANGALIA mpendahabari.blogspot.com

No comments:

Post a Comment