Tuesday, November 6, 2012

HARUSI YA BAKARI KAWINA NA JAFARANI MAJONGA-SONGEA

 
 Bwana Harusi Bakari Kawina.
 Bibi Harusi Jafarani Majonga
 Baba mzazi wa Bwana Harusi Mzee Athumani Kawina  akipeana mikono na Bi Harusi.
 Mmwaaaaaaa.....
 Bwana Harusi Bakari Athumani  Kawina
 Bi.Harusi Jafarani Majonga.
Mambo yakaanza ni ndani ya Ukumbi wa Songea Club.

Ndoa yao Ilifungwa nyumbani kwa wazazi Bi Harusi
kufuatiwa na tafrija katika Ukumbi wa Songea Club.

No comments:

Post a Comment