Sunday, November 4, 2012

BW. OSMUND NA PAMELA WAMELEMETA -SONGEA

Bw.Osmund na Bi.Pamela wakiwa kanisani
Bibi harusi Pamela akiwa na Msimamiza wake Mh. Jenista Mhagama -Mbunge wa Jimbo la Peramiho 

Bw.Osmund na Bi.Pamela wakiwa kanisani pamoja na wasimamizi wao
Bw.Osmund akijiandaa kumvisha pete Bi.Pamela 
Bw.Osmund akimvisha pete Bi.Pamela 
Bi.Pamela wakiwa kanisani akimvisha pete mumewe
Baba msimamizi Mr Mhagama akisaini cheti.
Maharusi wakikata keki
 Baada ya kufunga ndoa katika kanisa la RC
 Bi Harusi akimshika mkono msimamizi wake Mh. Jenista Mhagama
 Wakiwa katika pozi
 Bw.na Bibi Harusi wakiwa katika picha ya Pamoja na Mama Mzazi wa Biharusi
Katika pozi ni Bi harusi Pamela akiwa na Msimamizi wake Mh.Jenista Mhagama
 Bi Peacemary dada wa Bi harusi akifungua Shampen.
 Wahoo....
 Ndugu wa Bi harusi,Lota,Jaffer,Henry na Peacemary.
 Bi harusi akijimwaga Ukumbini.
 Mwanamke saloon bwana
 Maharusi wakipeleka vipaji.
 Bw.Harusi Osmund Mkinga akisaini cheti cha ndoa.
 Bi Harusi Pamela Mkinga akisaini cheti cha ndoa.
 Mama Msimamizi wa ndoa Mhe.Jenista Mhagama akisaini cheti.
 Wahooo Mamiiii.......
Mwenyekiti wa kamati Dr.Gideon Njowoka akiwapongeza Maharusi.
Mama Msimamizi Mhe.Jenista Mhagama akiwazawadia Maharusi.
Mhe Jenista Mhagama akimzawadia Mama mzazi wa Bi harusi.
Wafanyakazi wenzake na Bi harusi wakitoa zawadi.
 Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi Dr Gedion Njowoka  akisema jambo kwa niaba ya Kamati.
 Mama Mzazi wa Bi harusi akitoa nasaha zake.
 Walipofungua mziki tu kumbikumbi nao wakajitokeza kufurahia ndoa hii.
 Mwendo wa Tausi
 Mwaaaaaaaaaaaah
 Kwaheri mama naenda kuanza maisha mapya na mume wangu
 Mh Jenista Mhagama


Ndoa imefungwa tarehe 03/11/2012 katika kanisa la Mt.Mathias Mulumba Kalemba Songea -Ruvuma,
Tafrija imefanyika katika ukumbi wa Familia takatifu Bombambili Songea.

Picha: Mpenda Mvula na Denis Charles

No comments:

Post a Comment