Monday, December 11, 2017

SEND OFF-NEEMA PATRICK KOMBA-SONGEA

 Bi.Harusi mtalajiwa Neema Komba

-PICHA-DENIS PHOTO
-VIDEO-MPENDA MVULA
-UKUMBI FAMILIA TAKATIFU BOMBAMBILI

 Neema katika Ubora wake.









 Mama Mzazi wa Neema Komba.
 Baba Mzazi wa Neema Komba.


PICHA ZAIDI NA MPENDAHABARI.BLOGSPOT.COM
TUNAPIGA PICHA ZA VIDEO,STEEL PICHA,TUNAUZA ALBAM NK.

Monday, August 14, 2017

WEDDING OF CHARLES(DC) & FLORA-SONGEA

-PICHA-DENIS PHOTO
-VIDEO-MPENDA MVULA
-UKUMBI-FAMILIA TAKATIFU BOMBAMBILI

 Mr & Mrs Charles Moyo(DC)

Mwenzangu  chukua pete hii kama ishara ya mapendo yangu kwako.


 Waooooo Wamependeza sana.


 Picha ya pamoja familia ya Bi,harusi.








 PICHA ZAIDI ANGALIA MPENDAHABARI.BLOGSPOT.COM
TUNAPIGA PICHA ZA VIDEO,STEEL KATIKA SHUGHULI MBALIMBALI KWA BEI NAFUU Simu 0755-556736/0716162889 Songea.

SEND OFF YA SALMA MADALU-SONGEA

 -PICHA-DENIS PHOTO
-VIDEO-MPENDA MVULA
-UKUMBI-SONGEA CLUB

Bi.harusi mtalajiwa Salma Madalu akiingia Ukumbini.
 
 Bi.harusi mtalajiwa Salma Madalu akiingia Ukumbini.
 Bi harusi mtalajia Salma Madalu
 Mume mtalajiwa wa Salma Madalu
 Bi.Salma Akikata keki.
 Bi.harusi mtalajiwa akitambulisha ndugu zake.
 Picha ya pamoja na Mchumba wake.
 Mama mzazi wa Bi.harusi mtalajia Salma.
 Salma akiwa na Mama zake wadogo.
 Maharusi watalajiwa wakiwa na Mama Mzazi wa Bi harusi mtalajiwa.
 Bi Salma Madalu akimzawadia mchumba wake zawadi ya saa.
 Babu wa Bi.harusi mtalajiwa akitoa nasaa.
 Baba pokea keki hii kama Ishara ya Upendo wangu kwenu.
 Salma akipeleka keki kwa wakwe zake.

PICHA ZAIDI ANGALIA MPENDAHABARI.BLOGSPOT.COM
TUNAPIGA PICHA ZA HARUSI,MATAMASHA MBALIMBALI ZA VIDEO,STELL PICHA NK.Simu 0755-556736/0716-162889 Songea.