Monday, August 14, 2017

SEND OFF YA SALMA MADALU-SONGEA

 -PICHA-DENIS PHOTO
-VIDEO-MPENDA MVULA
-UKUMBI-SONGEA CLUB

Bi.harusi mtalajiwa Salma Madalu akiingia Ukumbini.
 
 Bi.harusi mtalajiwa Salma Madalu akiingia Ukumbini.
 Bi harusi mtalajia Salma Madalu
 Mume mtalajiwa wa Salma Madalu
 Bi.Salma Akikata keki.
 Bi.harusi mtalajiwa akitambulisha ndugu zake.
 Picha ya pamoja na Mchumba wake.
 Mama mzazi wa Bi.harusi mtalajia Salma.
 Salma akiwa na Mama zake wadogo.
 Maharusi watalajiwa wakiwa na Mama Mzazi wa Bi harusi mtalajiwa.
 Bi Salma Madalu akimzawadia mchumba wake zawadi ya saa.
 Babu wa Bi.harusi mtalajiwa akitoa nasaa.
 Baba pokea keki hii kama Ishara ya Upendo wangu kwenu.
 Salma akipeleka keki kwa wakwe zake.

PICHA ZAIDI ANGALIA MPENDAHABARI.BLOGSPOT.COM
TUNAPIGA PICHA ZA HARUSI,MATAMASHA MBALIMBALI ZA VIDEO,STELL PICHA NK.Simu 0755-556736/0716-162889 Songea.

2 comments: