Tuesday, June 7, 2016

KANISA LA ANGLIKANA DAYOSISI YA RUVUMA YAPATA ASKOFU MPYA.

 Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Ruvuma limepata Askofu mpya Askofu Raphael Haule anayekuwa Askofu wa nne katika Dayosisi hiyo akichukua nafasi ya Askofu Mstaafu Martenus Kapinga.

 Askofu Mpya Raphael Haule akila kiapo.
 Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Jacob Chimeledya akitoa maubili.

 Viongozi mbalimbali walioudhulia Misa iyo takatifu ya kumuapisha Askofu Mpya wa Anglikana Dayosisi ya Ruvuma.

 Askofu Mpya Raphael Haule aliyesimama katikati kabla ya kuapiswa.
 Askofu Mstaafu Martenus Kapinga akimpongeza Askofu mpya wa Dayosisi iyo.

 Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Elimu Stera Manyanya akimpongeza Askofu Mpya Raphael Haule
Askofu Mpya Raphael Haule akipokea zawadi mbalimbali.
 Askofu Mpya Raphael Haule mwenye kanzu nyekundu kabla ya kuapishwa.

 PICHA ZAIDI ANGALIA MPENDAHABARI.BLOGSPOT.COM


No comments:

Post a Comment