Sunday, November 22, 2015

HARUSI YA VERONICA & MATENEKE-SONGEA

- PICHA-MPENDA MPENDA MVULA
- KANISA-MT.MATHIAS MULUMBA KALEMBA
  JIMBO KUU LA SONGEA
- UKUMBI-FAMILIA TAKATIFU BOMBAMBILI

 Bi.Harusi Veronica katika ubora wake.
 Mjukuu wa Chifu Zulu  Matenike ndiyo Bw.harusi.
 Maharusi wakivishana pete kama ishara ya upendo wao.
 Waooooo Siku isiyo saulika hiyo.

 Bi harusi akiwa katika pozi nzuri.



 Picha ya pamoja na wazazi wa Bwana harusi
 Picha ya pamoja na wazazi wa Bi. harusi
 Maharusi wakifungua mziki.
 Bi harusi Vero na Mama msimamizi wake.
 Mr & Mrs Mteneke Zulu.


 Bw.harusi Mateneke na Baba msimamizi wake.
 Mmeona heeeeeee

Mama wadogo wa Bw.harusi.

PICHA ZAIDI NA MPENDAHABARI.BLOGSPOT.COM

1 comment: