Sunday, October 4, 2015

HARUSI YA STEVEN & FLOWER-SONGEA

Harusi ya Steven Kwetukia na Flower Manga ndoa ilifungwa katika Kanisa la Mt.Mathias Mulumba Kalemba Jimbo kuu la Songea na Kufuatiwa na tafrija katika Ukumbi a Familia takatifu Parokia ya Bombambili Songea Mjini.

PICHA-MPENDA MVULA.

 Bi.harusi Flower katika Pozi.
 Bi harusi akiwa Saloon.
 Bw.harusi akimvisha pete Mkewe.
  Bi.harusi akimvisha pete Mume wake.

 Kiapo cha ndoa.

 Umeona heee....

 Maharusi wakiwa katika picha ya pamoja na wazazi wao.
 Mwanamke Pozi.


 Maharusi wakiwa na wazazi wadhamini.




 Ndafu alikuwapo umeona heee.....

 Mama mzazi wa Bw.harusi akimuusia Bi harusi.




1 comment: