Viatu ni njia kuu ya ku make statements katika harusi yako, kuvunja tamaduni ya kuvaa viatu rasmi inaruhusiwa. Bora tu viatu ziwe comfortable.
Uchaguapo viatu, chagua viatu ambavyo vinaweza valiwa tena baada ya shughuli.
Hizi ni baadhi ya idea za converse shoes(raba), viatu ambazo si rasmi(unofficial shoes).
No comments:
Post a Comment