Sunday, February 1, 2015

SHEREHE YA CCM KUTIMIZA MIAKA 38 ILIYOFANYIKA KITAIFA SONGEA.

-PICHA-MPENDA MVULA
-UWANJA MAJIMAJI
-MGENI RASMI ALIKUWA MHE RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA JAKAYA MRISHO KIKWETE.

Sherehe ya kutimiza Miaka 38 tangu kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi Ilifanyika katika Uwanja wa Majimaji Songea Mjini Mgeni rasmi alikuwa Mhe Rais wa Jamuuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete

Sherehe ilitakungulia kwa vijana wa chipukizi wapatao elfu moja kucheza gwalide na kupita mbele ya mgeni rasmi kwa mwendo wa pole na haraka.

 Msanii Maarufu Daimond akiwasili uwanja wa ndege wa Songea,
 Mhe Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili Uwanja wa ndege wa Songea akisalimiana na mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu,
 Mhe Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma Odo Mwisho,
 

 Mhe Lowasa Mbunge wa Munduli na Waziri Mkuu Mstaafu akiwasili Songea,

 Vijana wa Chipukizi wakipita kwa Mwendo wa haraka,

 Kikosi cha Makamandoo wakipita mbele ya Mgeni Rasmi.

No comments:

Post a Comment