Thursday, September 5, 2013

SELEMAN MKONGO&ASHA MBAWALA WAAGA UKAPELA-SONGEA.

Seleman Abdul Mkongo na Bi.Asha Hamisi Mbawala wameuaga ukapela kwa kufunga ndoa nyumbani kwao London kata ya Lizabon Songea Manispaa.
Picha na Mpenda Mvula:
Bw.Seleman Mkongo.
Bw.Seleman akiwa na mpambe wake Shehe Jaribuni aliyekaa kulia na kushoto ni mjomba wake.
Bw.Seleman akiwa na mpambe wake Shehe Jaribuni
Baba mkubwa wa Bi harusi akimuozesha mke bwana Selemani Mkongo.
Mungu wangu nakushukuru kunipa mke nimpendae.

Bw.Selemani na mpambe wake Bw. Jaribuni wakielekea ndani kukabidhiwa mke.




Bi harusi Asha Hamisi Mbawala.




Bi harusi katika vazi lingine.










Mzee Hamisi Mbawala baba mzazi wa Bi harusi.
Mama mzazi wa Bi harusi.
Mzee Abdul Mkongo baba mzazi wa Bw.harusi.



KWA PICHA ZAIDI ZA HARUSI FUNGUA mpendahabari.blogspot.com.

No comments:

Post a Comment