Monday, May 13, 2013

ROSE HAULE (MINJINGU) AVUNJA REKODI SONGEA.

Dada Rose Haule maarufu kama Rose Minjingu wa Kikundi cha kinamama wa kuwezeshana Songea maarufu kama MAJAMANDA amevunja rekodi ya kujaza watu wengi zaidi waliojitokeza kuja kumchangia pesa za kujiwezesha kwa mwaka 2012-2013 mjini Songea.

 Rose Haule maarufu kama Rose Minjingu (Mrs Challe)
 Rose Haule akitafakali jambo.
 Mwenyekiti wa Kamati Mwl Frida Challe akifungua Sherehe.
 Rose Haule (Minjingu)akisalimia waalikwa Ukumbini.
 Rose na Dada yake wakipongezana.
 Shampein.



Aliwezeshwa mapesa kibao.

 Wahoooo......Mtoto wa Kinyasa uyo.
 Kwaito kama kazi.

 Mwenu uyu wa nene ukotokunionela wiu ukae na kujua.Rose akicheza wimbo wa kingoni.
 MC wa Mkoa Sophia Lukasi akimpongeza Rose.
 Rose na Familia yake,
 Picha ya Pamoja na marafiki zake.

Rose Haule(Mrs Kelvin Challe)ni mama wa Familia. 
 Kilaji kilikuwa kingi tu.
 Rose akionyesha furaha yake kwa kucheza sebene.

Watu wengi mtajiuliza MAJAMANDA ni kitu gani? ni mchezo wa kupeana pesa au vitu mbalimbali kwa ajili ya kusaidiana kujikwamua kimaisha,ufanywa na kinamama zaidi wa Mkoa wa Ruvuma .

PICHA NA MPENDA MVULA.

No comments:

Post a Comment