Monday, December 3, 2012

MTOTO HAKIEL ROY MGONJA APATA KIPAIMARA KATIKA KANISA LA KKKT-MSAMALA SONGEA.

  

Mtoto Hakiel Roy Mgonja ni mtoto wa wazazi Roy Mgonja na Rose Roy Mgonja,wa Msamala Songea. Alipata Kipaimala katika Kanisa ka KKKT Msamala Songea na kufuatiwa na tafrija katika Ukumbi wa Centenary.Picha- Denis Charles na Dastan Mwanja.
MC.Nestory Chale (MC Kambuzi)

Mtoto Hakiel Mgonja akipata baraka ya Kipaimara.
Mama mzazi wa Hakiel akitoa sadaka.
Mama mzazi wa Hakiel akimpongeza mwanae.
Hakiel Mgonja akitoka Kanisani.
Hakiel akiwa katika picha ya pamoja na wazazi wake.
Ukumbi ulipambwa vizuri.
Mtoto akimwaga maua kabla ya Hakiel kuingia Ukumbini.
Wazazi wa Hakiel Mgonja.
Hakiel Mgonja na wadogo zake.
Hakiel Roy Mgonja.

Mrs Rose Roy Mgonja (Mama mzazi wa Hakiel)
Mr.Roy Mgonja (Baba mzazi wa Hakiel)
Baba mkubwa wa Hakiel Mgonja 
Hongera sana kaka.
Ukafika wakati wa kukata keki.
Wahoo Kaka Hakiel.
Hakiel akikabidhi keki kwa wazazi wake.
Wazazi wa Hakiel wakipeleka zawadi.
 Shangazi wa Hakiel akimkabidhi baiskeli mtoto wake.
 Hongera sana wifi yangu.
Mrs Rose Roy Mgonja
Hakiel Roy Mgonja.
Mziki wa kumsifu Mungu Ukaanza.
Familia ya Roy Mgonja inawashukuru wote waliofanikisha sherehe ya mtoto waho kipenzi HAKIEL ROY MGONJA.Mungu Awabariki Sana.

No comments:

Post a Comment