Tuesday, December 18, 2012

HARUSI YA HAJI HAMISI MVULA NA SHAMILA MOHAMED MAKENGA-SONGEA.

Kambi ya ukapera Songea yazidi kubomoka baada ya mwanachama mwenzao Haji Mvula kufunga ndoa na Bi Shamila Njovu.Ndoa ilifungwa nyumbani kwa wazazi wa bint Bombambili Songea na kufuatiwa na sherehe fupi nyumbani kwa bwana harusi.Bw.harusi ni mtoto wa mmiliki wa mtandao huu wa mpendahabari.blogspot.com

MC-Mwl Chale(Kambuzi)
DJ-Steve
Picha-Njelela Mvula.

Safari ya kwenda kuowa ilianza.
 Mmoja wa mzazi akimkaribisha Bw.harusi mtarajiwa.
 Sheikh Abdala Kitete akimuoji Bi harusi.
 Sheikh Abdala Kitete.
 Mzazi wa Bi harusi mzee Mohamed Makenga.
Mzee Mohamed Makenga akimkabidhi mke Bw.Haji Hamisi Mvula.
Ukawadia wakati wa kuvalishana pete.
Mwandishiwa Habari wa TBC Gerson Msigwa akimpongeza Bw.harusi.
Bw harusi akisaini cheti cha ndoa.
Bi Shamila akisaini cheti cha ndoa.
Familia ya Bi harusi Shamila Makenga.

Baba mzazi wa Bi harusi Mzee Mohamed Makenga.

Wazazi wa Bi harusi wakienda kutoa zawadi.
Safari ya kuelekea kwa Bwana harusi ilianza.
Wakafika nyumbani kwa Bwana harusi Haji Mvula.
Bi.Shamila Mohamed Makenga.
Bw.Haji Hamisi Mvula.
Wakielekea kwenye Ukumbi wa wazi nje ya nyumba ya mzazi wa bw.harusi.
Walianza kwa mila za Kingoni,Babu wa Bw.harusi aliwafunua kanga maharusi.
Babu mzee Haji Mpenda Mvula anatoa nasaha kwa wajukuu zake.
Baba wa Bw.Harusi Mpenda Mvula(Mmiliki wa blog hii)
Mama wa Bw.harusi Rosemary Mpenda.
Ukawadia wakati wa kukata keki.
Familia ya Bwana harusi.
Wazazi wa Bwana Haji Mvula.
Kwaito Likaanza.
Wahoo.....
Dada zake Bw.harusi Kuruthum na Zamda wakipeleka Shampein.
Wahoo Mamiii....
Mhe.Jackline Msongozi akifungua Shampein.

No comments:

Post a Comment