Thursday, November 10, 2016

KILELE CHA SIKU YA MAADHIMISHO YA KISUKARI DUNIANI-SONGEA.

UJAMAA INTELLECTUALS NETWORK.

KILELE CHA SIKU YA MAADHIMISHO YA KISUKARI DUNIANI AMBAYO UFANYIKA KILA TAR.14.11.YA MWAKA
 Na-Mpenda Mvula.
Kwa Mkoa wa Ruvuma maadhimisho hayo yamefunguliwa kwa upimaji wa Sukari,Bp,na kupima uzito kwa wafanyakazi wa Almashauli ya Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma kwa  kupima na kupata semina.

Upimaji huo ulifanyika katika ukumbi wa Manispaa ya Songea,shirika lisilo la kiserikali UJAMAA INTELLECTUALS NETWORK Linawakalibisha katika kilee cha siku ya Kisukari Duniani siku ya tarehe 14.11,2016 katika viwanja vya Manispaa,vipimo viatafanyika bule karibuni Mnakalibiswa wote. 
 Semina iyo ilitolewa na Dr Geofrey L.Mdede toka hospitali ya Rufaa ya Mkoa Songea (HOMSO)
 Mkurungezi wa Almashauli ya Manispaa aliwaongza wafanyakazi kupima Kisukari,BP,uzito na urefu.
 Wafanyakazi wa Manispaa ya Songea wakiwa katika mstari wa kupima Kisukari,BP,uzito na urefu
  Mkufunzi Dr.Geofrey L.Mdede akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Almashauli ya Manispaa ya Songea.
PICHA NA MPENDA MVULA. 

 KAUL MBIU NI"MACHO KWENYE KISUKARI"
-EYES ON DIABETES"


 Mmoja wa mfanyakazi wa Almashauli ya Manispa ya Songea akipima uzito.
 Dr.Geofrey L.Mdede akitowa mada.
PICHA ZAIDI ANGALIA MPENDAHABARI.BLOGSPOT.COM 

No comments:

Post a Comment