Baba Mhashamu Askofu mkuu mteule wa Kanisa Katoliki Jimbo kuu la Songea Damian Denis Dallu akiwa kwenye gari la wazi katikati ya mji wa Songea baada ya kupokelewa katika Kijiji cha Lukumbulu mpakani mwa Mkoa wa njombe na Ruvuma. PICHA ZOTE NA MPENDA MVULA
Mhashamu Askofu Mteule Damian Denis Dallu
Umati mkubwa wa watu ulijitokeza kumpokea katika Kanisa la Mt.Mathias Mulumba Kalemba Jimbo kuu la Songea
Waseminary toka Seminali kuu Peramiho wakitumbuiza katika mapokezi ya Mhashamu Askofu Mteule Damian Denis Dallu
PICHA ZAIDI NA MPENDAHABARI.BLOGSPOT.COM
No comments:
Post a Comment