Bali ya kuwa Mtumishi wa Umma lakini pia alishapata kuwa mwamuzi wa Kimataifa wa Soka(FIFA) na
mpaka sasa ni Mwenyekiti wa Chama cha Waamuzi wa soka Mkoa wa Ruvuma.
PICHA NA MPENDA MVULA.
Josepha Mapunda akikabidhiwa barua yake ya kustaafu kazi kwa mujibu wa sheria.
Joseph Mapunda akiwaaga wafanyakazi wenzake.
Joseph Mapunda akisindikizwa na mmoja wa wafanyakazi pamoja na mwanae Pendo Mapunda aliyebeba mtoto.
Joseph Mapunda na Famila yake.
Joseph Mapunda akimkabidhi Ofisi Hamphrey Millanzi.
PICHA ZAIDI ANGALIA mpendahabari.blogspot.com
No comments:
Post a Comment