Monday, March 31, 2014

MGOMO MWINGINE TENA LEO SONGEA.

Wafanyabiashara wa Maduka mjini Songea wamefanya tena mgomo mkubwa leo wakutofungua maduka yao wakiishinikiza Serikali kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuzikataa mashine za kutolea risiti za (EFD)
PICHA NA MPENDA MVULA, SONGEA




Mmoja wa wakazi wa mjini Songea Bw. Boaz Msigwa akizungumza na waandishi wa habari mjini humo akimtafuta mkewe ambaye tangu alfajiri ya leo alitoweka nyumbani kwa ajili ya kutafuta mahitaji mbalimbali ya nyumbani.


Baadhi ya wakazi wa mji wa Songea wakiwa hawajui cha kufanya baada ya wafanyabiashara kugoma kufungua maduka yao.

No comments:

Post a Comment