Monday, October 14, 2013

SEND OFF YA HAPPINES KIDULANI-SONGEA.

PICHA-MPENDA MVULA
UKUMBI-SONGEA CLUB
Kweli amependeza.
Mwanamke pozi,umeona heee..
Wazazi wa Happines Kidulani.
Bi Happines anaingiya Ukumbini.

Bi Happines Kidulani.
Wanakamati.

Mery Mnimbo mama mzazi wa Happines akisalimiya wageni waalikwa.
Akimvalisha saa Mchumba wake kama ishara ya upendo.


Waooo .....




Misosi kama kawaida,umeona makuku hayo?
Kama njiwa hivi..



Kwaito kama kawaida.



PICHA ZAIDI ANGALIA mpendahabari.blogspot.com

No comments:

Post a Comment