Friday, October 18, 2013

MTOTO LAURIAN DESDERY APATA UBATIZO-SONGEA.

Mtoto Laurian Desdery amepata ubatizo katika kanisa la Mt.Vicent Paulo Msamala Parokia ya Bombambili Songea.Ikifuatiwa na tafrija katika Ukumbi wa Mt.Agnes Msamala.

Sherehe hiyo ambayo iliambata na siku ya kuzaliwa kwa dadayake Laurencia Desdery na kuudhuriwa na watu wengi wa manispaa ya Songea mkoani Ruvuma.

 Mtoto Laurian Desdery akipata Sakramenti ya Ubatizo.


 
Mtoto Raulencia Desdery nae alifanyiwa sherehe ya siku ya kuzaliwa.
Raulencia & Tadei




Bi.Raulencia Desdery.

 Mr& Mrs Desdery Lutta.
 
 

 
Bibi wa Laurian na Raulencia aliyopo kulia na wazazi wengine.

Zawadi toka kwa wanakwaya wa Kanisa la Mt.Vicent Paul Msamala Parokia ya Bombambili
Mashangazi hao.

No comments:

Post a Comment