Saturday, February 2, 2013

MASHUJAA WA WALIOIKOMBOA RUVUMA HAWA HAPA.

 Ndugu Songea Mbano,bin Luwafu alitawala toka kuhamia Wangoni sehemu hii hadi 1906 wakati wa vita vya MajiMaji.Mji Songea umerithi Jina la shujaa Huyo Songea.
 MASKANI YA NDUNA SONGEA MBANO.
 Nyumba ya Nduna Songea kwa nje mwaka 1897.
 Nduna Mpambalioto Soko bin Msarawani
 Nkosi Mlamira Gama bin Zulu Alitawala 1889-1899 akimfuata kaka yake Mharule.
 Nkosi Mputa Gama bin Gwazerapasi Alitawala 1899-1906 akimfuata Baba mdogo wake Mlamira.
 Kunywama Chisi,alitumwa kumkamata Padre Francis wa Peramiho 9.9.1905.
 MASHUJAA WA VITA VYA MAJIMAJI.
Katika msako mkali wa vita vya Mkono kwa mkono hatimaye viongozi wote na wafuasi wao walitiwa mbaroni.
 Kambi la Engelhardt na Fileborn karibu na Msamara-Songea.
 Askari wa Kijerumani.
 Jumbe Njunde Mkuwa alinusurika kunyongwa tarehe 27.2.1906.
 Jemedari Engelhardt aonyesha nguvu ya silaha zake kwa machifu wa Ungoni,Nduna Songea akiwa mmoja wao mwaka 1897.Ishara ya Utawala wa Mabavu.

 Kielelezo cha mti wa Ukoo wa Mankosi wa Njelu.

Soma Kitabu cha Historia ya Mapambano ya kujikomboa Mkoa wa Ruvuma.



No comments:

Post a Comment